Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahahaha,
Harusi za Wahaya siji rudia tena khaaa!
Wanaweza kukufanya uone dunia imekutupa mkono.
...unaweza kupleji 50k umekaa kiti cha mbele, wa nyuma kabisa anatoa boksi zima 1m, wanakamati wanakuhamisha kutoka kiti cha mbele hadi cha nyuma karibu na mlango
Bwahahahahaha,
Nashukuru sana kile kikombe kilinieupuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shape si ipo mama!.. me ukivaa suruali hata siioni uzuri!.
Shape ya kabati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nilale babe najua unakesha sijui upo club na vile ukienda club lazima uokoteze wick wangu mwanamke wa kurudi nae usisahau kutumia condom babe
 
Back
Top Bottom