Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti mwenyewe
Kuna lile lizee la eskro lile,
Lilitoa ahadi hiyo hadi mimi nikapata kuzunguzungu cha ghafla,
Sijakaa vizuri zee jingine likaahidi bei ya mkweche wangu, nikapata maluweluwe ile wamezubaa nikakimbia na ka elfu 50 kangu.
 
Back
Top Bottom