Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mhhhhhh na vijana wa siku hizi wasivyo na adabu hawachelewi kukufungulia uzi,
Utasikia Malcom Lumumba ana mpua mkubwa kama matundu ya chupi na likitambi kama mimba ya fisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko kumbe na nyie mnaogopaga kama sisi woiiii sisi wenyewe tunawazaga hivi hivi
 
Shape ya kabati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nilale babe najua unakesha sijui upo club na vile ukienda club lazima uokoteze wick wangu mwanamke wa kurudi nae usisahau kutumia condom babe
Unanielewaga mpaka nakuogopa, una mpango gani na mimi!!...
 
Back
Top Bottom