Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanahaidi mamilioni tu hapo lazima ukimbie tu
Kuna lile lizee la eskro lile,
Lilitoa ahadi hiyo hadi mimi nikapata kuzunguzungu cha ghafla,
Sijakaa vizuri zee jingine likaahidi bei ya mkweche wangu, nikapata maluweluwe ile wamezubaa nikakimbia na ka elfu 50 kangu.
 
Niliwahi kuwa mwanakamati kwenye harusi moja hivi bwana, sasa muda wa mchango ulivyofika.
Wale watu wa kanda ya ziwa wakafanya watu tuogope kuchanga.
Hahaha ikabidi nichukue jagi la maji nijifanya nanawisha mikono wazee!
Ile wamezubaa nilitoka ndukiii
[emoji23][emoji23][emoji23] Pledge za nitatoa ***** lakini itaongezeka kadri bwana harusi atavonifurahisha!..
 
Back
Top Bottom