Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,010
Pichani ni Albert Einstein (kulia) akiwa na Georges Lemaitre ambaye alikuwa ni padre, mwanafalaki, na profesa wa fizikia kutoka Ubelgiji, ambaye yeye ndiye alikuwa mwanasayansi wa kwanza kugundua kwamba ulimwengu haukuumbwa bali ni matokeo ya mlipuko mkubwa uliotokea miaka bilioni 13 iliyopita na kwa sasa bado ulimwengu unaendelea kutanuka huku ukiwa unapoa.
Jambo ambalo linawashangaza wengi ni kwamba padre kuja na ugunduzi kama huo ambao unapinga kwamba ulimwengu uliumbwa.
Jambo ambalo linawashangaza wengi ni kwamba padre kuja na ugunduzi kama huo ambao unapinga kwamba ulimwengu uliumbwa.