Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kante haishiwi vituko, yani anakipara alafu amekwenda saloon kunyoa nywele. Ni sawa na simu yako kujaa chaji kisha unaendelea kuichaji.
Screenshot_20180906-193100.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Obe
ArturoVidal amepata majeraha ya goti wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya Chile, hivyo hatoweza kucheza kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Japan.
Screenshot_20180906-193317.jpeg
 
UEFA Nations League

Mechi zitaanza kupigwa kuanzia saa Kumi na Moja ( mechi ya kwanza ) kuna ya saa Moja usiku na zingine zote ni saa Tatu na dakika 45 usiku.
Screenshot_20180906-193439.jpeg
 
Inawezekana mchezaji mmoja akiondoka kwenye timu akaharibu mfumo mzima wa uchezaji katika timu husika? Jibu ni NDIYO.
:
Kiungo wa zamani wa Simba Amri Kiemba amesema hii kitu ilishawahi kuwakuta Simba baada ya beki wa kati Kelvin Yondani kusajiliwa na Yanga.
:
"Kipindi tunacheza Simba aliondoka Yondani, ni kipindi ambacho Simba ilinunua mabeki wengi na kuwaacha, walikuja wacongo na kina Keita yote katika kutafuta kuziba pengo la Yondani"-Amri Kiemba.
:
"Kwa wakati huo safu ya ulinzi ilitengenezwa kupitia Yondani baada ya Owino kuondoka. Kwa hiyo Yondani akawa muhimili wa ulinzi mabeki wote walikuwa wanacheza kwa kutegemea Yondani anachezaje."
:
"Alipoondoka Simba ilikuwa inajaribu kwa njia zote inapataje mtu kama Yondani, ndio kipindi ambacho ilipoteza pesa nyingi kununua walinzi kwa wakati huo."
:
Timu gani nyingine imewahi kuhangaika baada ya kuondokewa na mchezaji wake muhimu
Screenshot_20180906-193649.jpeg
 
Winga wa Bayer Liverkusen Julian Brandt amekabidhiwa jezi namba 10 iliyokuwa ikivaliwa na Mesut Ozil ambaye ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
:
Ozil alitangaza kustaafu mwezi July kwa madai yeye na mwzie Ilkay Gundogan walibaguliwa baada ya kupiga picha na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.
:
Brandt mwenye umri wa miaka 22 ataanza kuvaa jezi namba 10 kwenye mchezo dhidi ya Ufaransa.
:
Lothar Matthaus ni mmoja wa wachezaji mashuhuri waliowahi kuvaa jezi namba 10 ya timu ya taifa ya Ujerumani.

Screenshot_20180906-193815.jpeg
 
Inawezekana mchezaji mmoja akiondoka kwenye timu akaharibu mfumo mzima wa uchezaji katika timu husika? Jibu ni NDIYO.
:
Kiungo wa zamani wa Simba Amri Kiemba amesema hii kitu ilishawahi kuwakuta Simba baada ya beki wa kati Kelvin Yondani kusajiliwa na Yanga.
:
"Kipindi tunacheza Simba aliondoka Yondani, ni kipindi ambacho Simba ilinunua mabeki wengi na kuwaacha, walikuja wacongo na kina Keita yote katika kutafuta kuziba pengo la Yondani"-Amri Kiemba.
:
"Kwa wakati huo safu ya ulinzi ilitengenezwa kupitia Yondani baada ya Owino kuondoka. Kwa hiyo Yondani akawa muhimili wa ulinzi mabeki wote walikuwa wanacheza kwa kutegemea Yondani anachezaje."
:
"Alipoondoka Simba ilikuwa inajaribu kwa njia zote inapataje mtu kama Yondani, ndio kipindi ambacho ilipoteza pesa nyingi kununua walinzi kwa wakati huo."
:
Timu gani nyingine imewahi kuhangaika baada ya kuondokewa na mchezaji wake muhimuView attachment 859253
Jembe langu,cotton juice
 
Kwa mara ya kwanza katika historia timu ya taifa imeitwa ikiwa na wachezaji tisa (9) wanaocheza soka nje ya nchi kwa ajili ya mechi dhidi ya Uganda kuwania kufuzu fainali za AFCON 2019.
:
Kutokana na ongezeko kubwa la wachezaji wa Tanzania kwenda kucheza nje ya nchi siku za hivi karibuni, nahodha wa Taifa Stars@samagoal77 amesema, tunapoelekea ni pazuri.
:
"Tunapoelekea ni pazuri, siku zote nilikuwa nikiomba na kupigana ili wachezaji wengi watoke Tanzania waende kucheza professional haijalishi ni wapi."
:
"Unapocheza kwenye ligi ambazo zimeendelea zaidi ya Tanzania kuna kitu kingine tofauti unajifunza. Unapokua kwenye ligi ya nyumbani unaweza kubadilishiwa makocha wanakuja kutoka sehemu tofauti lakini vitu ambavyo unaenda kukutana navyo kwenye ligi vinakua havina tofauti kubwa."
:
"Ombi langu na mawazo yangu siku zote ni wachezaji kwenda kucheza nje ya Tanzania kitu ambacho sasa hivi kinatokea, nadhani tunapiga hatua nzuri."
Screenshot_20180906-193954.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Nilianza na redds
Wale mlioanza na Champgainne mseme pia

Mkasogea hadi kwenye Malta..

Mkasogea hadi kwenye bavaria

Mkaanza kunywa Tonic na Sweet wines..

Kidogo mkaanza wine...! Oooh mimi nakunywaga wine tuu

Mara paaap! Dompo ina 18% ..jaribu beee ipo chini kidogo

Mara paaaaaap !!!
Ukaanza kukata safari na ndovu .

Kilevi kitu bhanaaa! Kama demu anavyotongowa tuu
 
He he ngoja wakuje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom