makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,018
- 104,618
Mishe vipi ndugu yangu!?Nipo kawaida tu mkuu
Mishe vipi ndugu yangu!?Nipo kawaida tu mkuu
Fresh tu mkuuMishe vipi ndugu yangu!?
Bado upo matopeni ndugu yangu!?Fresh tu mkuu
Vumbini tu mkuuBado upo matopeni ndugu yangu!?
Nimepukutika mkuu, VX imekuwa K(i)X.Vumbini tu mkuu
Siku ukipita na VX yako utanipa lift
Huyo manzi VP tena? Kwa mabaya au mazuriii..Kaka Ray punguza dharau
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi nipo mkuu naingiaga Jf kwa nachale maana kuna manzi ananitafuta
Ukiwa na ishu muhimu tuwe tunatafutana PM mkuu
Funding bishop ndio nini ?Mikwara Ya Andunje anasema Bitoz ndie funding bishop ngoja nifuatilie..
Nimetania tu mkuuHuyo manzi VP tena? Kwa mabaya au mazuriii..
Lipi hilo ndugu yangu!!?Machiavelli unatuwakilisha vyema jukwaa letu kulee au nawe ushastafu
Labda jukwaa la watafuta ajira
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Acha kusema uongo.Nimetania tu mkuu
Sijawahi kumkimbia mtu Jf
Ndugu yangu hawez kumkimbia mtu, napinga hilo.Acha kusema uongo.
Ngedere bunga je...
Asbh njema wadauUsiku mwema wadau.