Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakati anaenda kufanya Rush Hour 1 Marekani, Jack anasimulia utofauti wa Ufanyaji Wa Filamu Kwao China Na Marekani...!!

Kwao China Anasema, Waigizaji Hata Hawajaliwi Kwa Kiasi Hicho, And Muigizaji Inabidi Uwe Na Ujuzi Mwingi Zaidi..Sababu Wao Hawategemei Sana Kompyuta Katika Kazi Zao...!! Lakini Kwa Marekani Alishangaa Kuona Namna Waigizaji Wanavyojaliwa Vibaya Mno Tena Sana...!!

Kuna Siku Anasema Alikuwa Yupo Na Director Wameenda Kutembelea Locations kadhaa ambazo watafanyia Filamu Hiyo...Kuna Sehemu Director Akamwambia Hapo Itabidi Katika Scene Tutashoot Mtu Itabidi Aruke Kufikia Katika Dirisha Ambalo Lilikuwa juu..Ambalo Kwa Kikawaida Uwezi Kulifikia Bila Ngazi.

Lakini pembeni kulikuwa na mti, Jack akamwambia mbona simpo tu hapo Naweza tena bila ngazi...!! Director akamuuliza Kweli?? Jack akamwambia Angalia...akapiga Fasta Tuu...Paa Paa Kwenye Mti..Huyo Kwenye Dirisha Kama Kawaida Yake...!!

Director alishangaa sana akasema kesho watakuja kumuonesha na Produza...and Yes, Produza alioneshwa Bhana..Akabaki mdomo wazi..ila alichomwambia.

"Don't Do It Again Jack"

Siku iliyofuata Anasema Wakawa Wanarekodi Hiyo Scene, Sasa Akawa Anashangaa..Timu Kubwa Inaletwa, Sijui Madokta..Watu Wa Moto..Waliletwa Mafundi Kuangalia Dirisha Kama Ni Salama Na Watu Wengine Wengi Kuandaa Eneo Liwe Fresh...Jack Anasema Alikaa Karibu Masaa Matano Maandalizi Tu...Sa Anashangaa Ka Kitu Ka Dakika Mbili Wao Wanafanya Masaa Yote, Si Wampe Hizo Hela Za Hao Watu

That's Jack.
Screenshot_20180824-195955.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom