Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Moud mambo

Moud mambo

Ahaaa shunie wamekuibia umebaki kukuna eggs tu
Nimecheka sana.... ila daah kama mchizi kaibwa Shunie wake, basi ana hasara kubwa sana! Mana yule demu si wa viwango vya nchi hii!
Hahaaaaa kiongozi jamaa kachukuliwa makinikia yake mchana kweupee.
Hahaaaa boya tu walimchukulia bila mawazo
Bwana bwanah kilio cha samaki nayakumbuka tu mautamu yakee ....
Usichekeee mkuu
Pole sana T nae kabaki analia tu
AiseeeeeNa yeye kumbe ??
Makapuku nawawish jioni njema na poleni kwa uchovu!
I know you like dem a lot..
If God wish I will make it happen for you ma babe..
HUMU NAWASLIMU SANA, KIUKWELI NATHAMINI SANA UWEPO WENU!
Karibu mkuu jisikie upo nyumbani
Wouzeeeeeeerrr sema kweli slimkwa ninvokupenda..... mimi chochote nitapokea tu!
EeenhUnataka nikupe nn slim5
Mashabiki wa man u habari zenu tunazo
E&K








Kumbe ninge we man u mwenzanguMkuu pole aisee,, Jana tulimcheka Asenali,, leo yametukuta kipigo kile kimekuja mapema sana,,,kumbe wewe ni mzee wa uturuki hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Jpili imekaa vizuri sana, natafakari kipigo cha Manyu huku nikiburudika na lite sababu Chelsea kampiga mtu jana kwa taaabu sana. Na Simba ikiongeza kombe lenye heshima kubwa duniani.
This is Simba brazaz and sistaz
Binamu shikamooNawasalimu wote, wikend inaendelea kwa upande wangu Kama unataka kujua.
Anko Lyon Lee nimekuona mahali pokea salamu. Aunt Shunie nilisoma Magazeti simu ikawa haina bundle kujibu isipokuwa kulike tu. Tumosa mama JJ nimekuona, ningendako heshima yako.
Pamoja sana