Herymiller
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 613
- 861
Hamujambo
Safi kbs ,jpili imeishajeWazimaa habari yako
Imeisha salama kabisa aiseeSafi kbs ,jpili imeishaje
Hatujambo shikamooHamujambo
MarhaaaaaaabaaaaaaaaaaHatujambo shikamoo
Safi,mm bado naimalizia kwa Shayo hapa ,huku nasoma wana JFImeisha salama kabisa aisee
Wacha wee...wengine tunamalizia majumbani mwetu buanaSafi,mm bado naimalizia kwa Shayo hapa ,huku nasoma wana JF
Vzr piaWacha wee...wengine tunamalizia majumbani mwetu buana
Ama hiyo marhaba imeitikiwa kwa moyo woteeMarhaaaaaaabaaaaaaaaaa
Za wikiendiiiiii
za wikiend njema mkuu sijui weweMoyo lazimaAma hiyo marhaba imeitikiwa kwa moyo woteeza wikiend njema mkuu sijui wewe
Kaburi muhimu...soon nitaleta breefing.
leo ni August 13..! Left Handers Day...
kama unatumia mkono wa kushoto nyoosha kidole.

Kaburi lingine muhimu.International Left-Handers Day.
Tarehe 13 mwezi wa 8 ni maazimisho kwa watu wanaotumia mkono wa kushoto kufanya kazi zao badala ya mkono wa kulia. Kwa mara ya kwanza maadhimisho haya yalifanyika mwaka 1976 wezi na tarehe kama ya leo.
Haya maadhimisho yalianza rasmi ili kuonyesha uwepo wa binadamu hawa wanaotumia mkono wa kushoto katika ulimwengu uliotawaliwa na mifumo inayopendelea watumiaji wa mkono wa kulia. Wakati mwingine watumiaji wa mkono wa kushoto wanapata sana taabu kutumia vitu vyenye mifumo ya mkono wa kushoto. Mfano Kuendesha vyombo vya Moto, Kutumia Silaha,Kuandika na n.k.
Katika tafiti nyingi zilizofanyika inaaminika asiliamia 10% ya watu wote duniani ni left-handers( watumiaji mkono wa kushoto). Kwa hesabu za mwezi August mwaka 2017, dunia ina idadi ya watu 7,500,000,000 (billion Saba na nusu). Asilimia 10 ya watu 7,500,000,000 ni watu 750,000,000 ( Milion mia saba na hamsini).
Mambo ambayo hukuwahi kuaysikia juu ya Left-Handers (Watumiaji wa mkono wa kushoto), Baadhi ya mambo yako proved kabisa lakini mengine ni imani tuu juu ya watu hawa adimu.
Yako zaidi ya 10, ila nitelezea hadi pale nikapoona nimecover sehemu kubwa.
Namba.1.
Lefties, wanaaminika kuwa ni wachoraji wazuri zaidi ya right-handers, watumiaji wa mkono wa kushoto ni mahiri katika kuchora, wengi wao wanachora picha ya mtu akiwa anaangalia upande wa kulia.
Mkuu hiyo vipiiiiiAsante mkuu
Shikamoo dadaAma hiyo marhaba imeitikiwa kwa moyo woteeza wikiend njema mkuu sijui wewe
Hatujambo shikamoo mwalimuHamujambo