Makapuku Forum

Makapuku Forum

...ha hahaha, haha, anko tuendelee na mambo yetu, sasa aunt ndo kaula utawala tayari kawa DC , utaweza kweli kumuacha CD kwa yale madikodiko anayokupa maana tulipoenda wote ile nyama nadhani iliungwa kwa mafuata ya mchicha, ilikuwa laini sana na madikodiko kibao, ndo maana unapotea anko si bure
 
Bhujiku mwaka

...tubhusangele!
giphy-4-2.gif
 
...ha hahaha, haha, anko tuendelee na mambo yetu, sasa aunt ndo kaula utawala tayari kawa DC , utaweza kweli kumuacha CD kwa yale madikodiko anayokupa maana tulipoenda wote ile nyama nadhani iliungwa kwa mafuata ya mchicha, ilikuwa laini sana na madikodiko kibao, ndo maana unapotea anko si bure
Anko binamu unaweza kuwa siliasiii kidigo kwenye hili ...make wanasema na hili litapita mengine baki nayo moyoniii ankaliiii .

Alafu bwana sikujua kama atanibipuuuu kapiga kabisa na mm nikamwambia yanasemwa mengi akasema wkend zamu yangu...umewaza nn hapo kwenye zamu etiii
 
...niko siriazi kabisa, sasa hapa ndo inabidi ujiandae kama umepewa zamu. Kuna bingilibingili za kutosha muage kabisa aunt kuwa umepata dharula

...sijaona video clip yake, like real video clip sio hii.

Hii hapa, naamini utaipenda

Kuku nimenasa kwenye tenga sina pupa mm niwako
Ungejua sisemi silali kwakovile sihem wewe ni kiboko yangu
Mahabuba nyongo mkalia INI
Sinaga mwingine baba, nyongo mkalia INI
Shida yangu kukuona mzima baba njaa sio tatizo

Kama shida tumezoea sana baba tangu enzi hizo
Wache wapark wamarange nimependa bodaboda iyee eh
Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga baba eehh
Chai kwa andazi wala sinaga shida iyeee ehh

Uniletee boga ninapomisi burger iyee ehh
Japo wengi wanaumia wakituona ng'aring'ari
Wanataman furaha yetu hawapendi kushuhudia
tunavizidi kwenda mbali wanataman furaha yetu

Majuto majuto ni Mjukuu nikikuacha
Ndo mwisho nitachekwa na watu nitaumbukaa

Wouzeeerrrrr binamu santeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom