Kwa shayo kasulu?Huu mtaa niaje wadau, niko kwa Shayo hapa,karibuni
Zimefika salam, we huonekani kbs hapa kwa Shayo ,Leo Kaletewa mbege basi anaringa hatariMsalimie shayo
My shuniii
Zimefika salam, we huonekani kbs hapa kwa Shayo ,Leo Kaletewa mbege basi anaringa hatari
Nimeuliza tu swali bidada, mbona hivyo lakiniKwann ufe![]()
![]()
![]()
![]()
We pita tu
Nimemiss enzi zile kapuku ikiwa kapuku.Abeeh mondray
Maneno makali hayo bidada.Utakufa wewe mkuu sisi utatuacha hapahapa
Maneno makali hayo bidada.
Mimi nawatania wajumbe, maneno makali sio mazuri
Nimemiss enzi zile kapuku ikiwa kapuku.
Mmmh we unakunywaga mbege?Mwambie na mm aniwekee mbege
Hapana, hakuna utani wa kufa. Huo sio mzuri kabisaNa sisi tunakutania vilevile
Masanga!
Daah siku hizi hadi tumomo kaninuniaHaiwezi rudi kapuku ile kila mtu kakimbia
OK,vzr sogea pande hzMasanga!
Mbali sanaa hafu sitokagi usiku.OK,vzr sogea pande hz
Nakunywa ndio ikiwa yabaridi itapendeza zaidi mwambie
Nisamehe mkuu kumbe we muoga kufa kama mmHapana, hakuna utani wa kufa. Huo sio mzuri kabisa




