Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwema mkuuu...kesho naomba magazetiNiaje mkuu
Kwema mkuuu...kesho naomba magazetiNiaje mkuu
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...hadi leo sijaelewa kwa kweli, kila siku nagugo ili nielewe lakini bado tu. Kichwa changu kina shida mahali au unasemaje wewe kwa mfano

































































Haaaaahaaaa..shukrani mdau, kwanza ulipotelea wapi kaka maana siku zimepita sio popote hapa huonekani hadi watu wakaanza kuzusha wewe ndo ulimchukua yule dog wa polisi (wataunganisha matukio, dog kaonekana na wewe umerudi? Ulimpeleka mafunzoni?
Shikamoo baba wawiliNiaje mkuu
Anko kwa hiyo maswali yako ulitegemea niyajibu kweliii yalivyo magumu au ??Mbona wamechukua muda mrefu sana kutujulisha, au hayo mafunzo yalikuwa ni ya siri sana na wairi hakupaswa kujua? Hii inasema nini (significance) je waziri kwa IGP ni mchumba tu? Maana yake ni kuwa waziri wa mambo ya ndani hana nguvu ya kumuamrisha IGP na hili lazima wengi mfahamu, IGP au CDF ni mawaziri juu ya mawaziri wanaoteuliwa.
Anko, siasa ngumu hii, Lugora anajua kabisa hana uwezo wa kumuamuru IGP
Jamani huyu mbwaAlikuwa masomoni![]()
![]()
![]()
![]()







Anko kwa hiyo maswali yako ulitegemea niyajibu kweliii yalivyo magumu au ??
Haya mambo wengine tunasema wacha movie isonge mbeleeeee
Ngoja nione, ila asubuhi sitakuwa onlineKwema mkuuu...kesho naomba magazeti
😀 😀 😀 😀 😀 😀...ha hahahahah, waziri atapata tabu sana, hzi tabia za micro-managing zitamuaibisha.
..shukrani mdau, kwanza ulipotelea wapi kaka maana siku zimepita sio popote hapa huonekani hadi watu wakaanza kuzusha wewe ndo ulimchukua yule dog wa polisi (wataunganisha matukio, dog kaonekana na wewe umerudi? Ulimpeleka mafunzoni?

Mama JJShikamoo baba wawili
Pole na kazi
Abeeeee my swiiiMama JJ
Njoo unipokee hapa njeAbeeeee my swiii
Anko kwa hiyo maswali yako ulitegemea niyajibu kweliii yalivyo magumu au ??
Haya mambo wengine tunasema wacha movie isonge mbeleeeee
Ngoja nione, ila asubuhi sitakuwa online
...ha hahaha, haha, anko tuendelee na mambo yetu, sasa aunt ndo kaula utawala tayari kawa DC , utaweza kweli kumuacha CD kwa yale madikodiko anayokupa maana tulipoenda wote ile nyama nadhani iliungwa kwa mafuata ya mchicha, ilikuwa laini sana na madikodiko kibao, ndo maana unapotea anko si bure
