Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Zamani Kidogo Jana

Sio zmani sana lakini, kilikuwa ni kipindi kama jana tu wakati huwa kwa sisi wa mikoani na mawilayani tukienda kuangalia video (sio sinema) kwenye kumbi za CCM, shuleni, maghala ya ushirika au kumbi za harusi ambazo nyingi zilikuwa chini ya wakatoriki. So kwa wengine sie tulishangaa misalaba na picha za Yesu mzungu. Anyway si lengo langu kuandika niliyoandika bila kukusalimia wewe Kapuku tunayeheshimiana. U khali gani? Mimi sijambo na asante kwa kutouliza, maisha yanasonga.

Muziki sasa, ni muda mzuri wa kukumbuka zamani, kipindi LY inasifika si kidogo mikoani, ukiwa darasa la saba (standard seven) unajiita LY na mwalimu anakufundisha kuwa msafi na kukufuatilia kwa ukaribu maana ndo wengine tulianza kupevuka, ndoto nyevu na oh, nilisahau, likizo ya kuingia LY ndo unapelekwa kijijini kutahiriwa ili uruhusiwe kwenda kuoga ziwani na kushangaashangaa shanga za wadada waliokuwa nao wakija kuoga ziwani. Nimetokea ziwani na nimekumbuka leo nikaona nikuburudishe na muziki mzuri

Shikamoo binamu,pole na mambo yote
 
Binamu nakupenda mm
Hakuna jambo jema unalotakiwa kulifanya kama kushukuru, sio kwa mazuri hta kwa mabaya inabidi ushukuru maana yanakufundisha usisahau siku nyingine.

Asante Shunie kwa kutuamsha kwa sala, asante mtu chake kwa mapicha ya DRC, Tumosa kwa kuchangamsha wote na zaidi asante wewe ambaye upo hapa jukwaani.

Kuna jipya?
 
Binamu asanteeee
Muziki: Zamani Kidogo Jana

Sio zmani sana lakini, kilikuwa ni kipindi kama jana tu wakati huwa kwa sisi wa mikoani na mawilayani tukienda kuangalia video (sio sinema) kwenye kumbi za CCM, shuleni, maghala ya ushirika au kumbi za harusi ambazo nyingi zilikuwa chini ya wakatoriki. So kwa wengine sie tulishangaa misalaba na picha za Yesu mzungu. Anyway si lengo langu kuandika niliyoandika bila kukusalimia wewe Kapuku tunayeheshimiana. U khali gani? Mimi sijambo na asante kwa kutouliza, maisha yanasonga.

Muziki sasa, ni muda mzuri wa kukumbuka zamani, kipindi LY inasifika si kidogo mikoani, ukiwa darasa la saba (standard seven) unajiita LY na mwalimu anakufundisha kuwa msafi na kukufuatilia kwa ukaribu maana ndo wengine tulianza kupevuka, ndoto nyevu na oh, nilisahau, likizo ya kuingia LY ndo unapelekwa kijijini kutahiriwa ili uruhusiwe kwenda kuoga ziwani na kushangaashangaa shanga za wadada waliokuwa nao wakija kuoga ziwani. Nimetokea ziwani na nimekumbuka leo nikaona nikuburudishe na muziki mzuri

Similar Discussions

Back
Top Bottom