Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
habari za hapa
Mzima wewe?Baba mchungaji shikamoo
Tamu tu za hukohabari za hapa
TUOMBE:

Mzima wewe?
Poa sanaMzima za ww
unajua sikuelewagi kabisa shunii na hizi shikamooo zakoSalama shikamoo
naona kwakweli....huku ziko poa kabisaTamu tu za huko
AMENTUOMBE:
ASANTE BABA kwa siku ya leo Jumatano tarehe 25 Julai 2018 Baba tunaomba Toba kwa yote ambayo tumeendca kinyume na mapenzi yako uturehemu twakusihi.huruma yako iwe juu yetu.
Siku ya Leo Tunaomba Tuongoze,Tusimamie,
Tubariki,Tuponye na utupe Muda wa kukutafuta kwa bidii na kutafakari matendo yako makuu kwetu.Roho Mtakatifu kaa nasi Tufundishe,Tukumbatie Mfalme wa Amani.Tunaomba yote kwa jina la Yesu Kristo Amen
JUMATANO NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTU ITUFUNIKE![]()
AmenTUOMBE:

Kwa nn hunielewi jamaniunajua sikuelewagi kabisa shunii na hizi shikamooo zako
naona tu kuna kitu unataka kuninyima hapaKwa nn hunielewi jamani