Nganga Lyuma
Member
- Jul 22, 2018
- 38
- 80
Jukwaa limepoa sana siku hizi,makapuku wote wamekuwa madon
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanaume kutwa kushindana na wanawake kuwasema vibaya kisa umetongoza umekataliwa kazi kuongelea vibaya na kuwaanzishia thread huo si umama asante
Tumebaki wagonga ulimboJukwaa limepoa sana siku hizi,makapuku wote wamekuwa madon
Hahahaaaa na wimbomboTumebaki wagonga ulimbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo nalinda Uzi usiibiwe
HahahaHahahaaaa na wimbombo
Anamalizia FungateHivi Sakayo yupo kweli? sijaona saini yake kitambo
Acha tuendelee kusakanyaHahaha
Hivi fungate huendi na sim,au pc ya movieAnamalizia Fungate
Niko poa, hofu kwako TumosaVp mkuu uko poa
Wanajenga madaraja kwanza na kupokea gawioKuhusu Tanzania ya viwanda. Vipi mmeshajenga hata kimoja?[emoji3] [emoji3]
Wanajenga madaraja kwanza na kupokea gawio
Safi moud habariHabari zenu wapenzi wa uzi huu
...gawio hutokana na faida, sio?