Makapuku Forum

Makapuku Forum

...asante binamu, niko nimekaa mahali tulivu nasikiliza nyimbo za South ila majina yake sasa ukiulizwa na mnayeheshimiana unaweza ukasema hujui kusoma
wimbo unaitwa kuntombazane, mwingine intombiyakamama. Nway nisikuchoshe. Furahiday haipaswi kuwa na mambo mengi
Mmmmmm hizo nyimbo ankoli..heshima yako lakini
 
Kwako sjawah kununa wala kulala nikiwa nimenuna, achilia mbali kununa, kulala ikiwa tuna misunderstanding btn me and u, nakupenda kwa vingi
nakupenda sana mke wangu nitakupenda siku zote nilizobakiza hapa duniani makapuku ni mashahidi.

ulale salama babe ile ndoto yako iendelee uje kunimalizia kesho inshaallah.

unapendwa huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom