Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Moto tenaaa wa nnnalinda mali zangu babe
shunii uje kuwasha moto hapa
Moto tenaaa wa nnnalinda mali zangu babe
shunii uje kuwasha moto hapa
Linda tu n zako una hakinalinda mali zangu babe
shunii uje kuwasha moto hapa
sawa swetieMe pa kukushtaki napajua nimejibu tu swali sjakushtakia wala,
that's my babeLinda tu n zako una haki
Tunakua wapi huku au kule?sawa swetie
Always muhibbuthat's my babe
Sawasawa mkuuHahaha ,huyu mdada wa kuhudumia jeuri ,ngoja atuletee km tulivyo
mbona unaficha sura shemelaa? ahahaaaNdiwoooo
Upunguze mashartii![]()
![]()
![]()
sio hapa wala kule ila ni kuleeeeeeeTunakua wapi huku au kule?
Aibuuumbona unaficha sura shemelaa? ahahaaa
Salama habari yako mkuuKaka zangu wasalaaaam
Me sipendi honey, usifanye hivo bwana mana navyokimbia kimbia hapa nayawahi yasikauke japo nimenunasio hapa wala kule ila ni kuleeeeeee
natema mate hapa
HahahhahahaNdiwoooo
Upunguze mashartii![]()
![]()
![]()
sawa nimekuelewa ntapunguzaAibuuu
usinune mpenziMe sipendi honey, usifanye hivo bwana mana navyokimbia kimbia hapa nayawahi yasikauke japo nimenuna
Hahaha, unakunywa nini akupe NNE ,amuite na wa jikoni kbsSawasawa mkuu
Kwako sjawah kununa wala kulala nikiwa nimenuna, achilia mbali kununa, kulala ikiwa tuna misunderstanding btn me and u, nakupenda kwa vingiusinune mpenzi