Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,450
Makapuku mbn wavivu wakuagiza?hebu kunyweni na mle nitalipa,tusitegeane kbs ktk hili
Ntawasalimia kesho asubuhi wakiamka aisee.Asante
Nisalmie wenzao
Weekend ndo hii binamu...Ukiondoa makala nzuri ya Mndali ndanyelakakomu na ugeni wa Goal Kick kuna jambo gani jipya?
BTW, nimefurahi kuwaona wadau wote mliopo hapa.
Hahahaha huu ndio moto umewashaWooouzeeeerrrhaya ni zaidi ya mahaba
WooooooyooooooMakapuku mbn wavivu wakuagiza?hebu kunyweni na mle nitalipa,tusitegeane kbs ktk hili
AsanteNtawasalimia kesho asubuhi wakiamka aisee.
We endelea binamu utatusimulia jumatatu...asante binamu, niko nimekaa mahali tulivu nasikiliza nyimbo za South ila majina yake sasa ukiulizwa na mnayeheshimiana unaweza ukasema hujui kusoma
wimbo unaitwa kuntombazane, mwingine intombiyakamama. Nway nisikuchoshe. Furahiday haipaswi kuwa na mambo mengi
Asante anko mi nakusalimu tu...Ukiondoa makala nzuri ya Mndali ndanyelakakomu na ugeni wa Goal Kick kuna jambo gani jipya?
BTW, nimefurahi kuwaona wadau wote mliopo hapa.
khaaaaaaa! wee nae kuruta tu mxiuuewShikamooo
![]()
![]()
![]()
Moneykhaaaaaaa! wee nae kuruta tu mxiuuew
miss too honey wangu![]()
![]()
![]()
Miss u dear
shemelaMoney
Mambooooshemela
poa!miss u shemela wanguMamboooo
Tena achangamke watu wana KIUWaiter njoo sikiliza oda hapa![]()
![]()
![]()
Missed you too shemela..poa!miss u shemela wangu
Ulifichwa wapi jamanMissed you too shemela..