Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
usiku mwema ndugu zangu
...na kwako pia
usiku mwema ndugu zangu
Muwe na usiku mwema wapendwa
honey, nakupenda zaidi babe,na asantekwa kunichagua asante kwa kunikubali mimi madame kuwa mwanamke/mke wako. Sina cha kusema, unanijua neno nakupenda kwangu halitoshi kabisanakupenda sana mke wangu nitakupenda siku zote nilizobakiza hapa duniani makapuku ni mashahidi.
ulale salama babe ile ndoto yako iendelee uje kunimalizia kesho inshaallah.
unapendwa huku
Mie niko popo km kawaZamu yke kulinda jukwaa![]()
![]()
![]()
![]()
Mbn mapema,muda wa kuhama kiwanja huuUsiku Mwema Kwa Wote!
Kila la kheri shemela muendelee kupendana hvohvonakupenda sana mke wangu nitakupenda siku zote nilizobakiza hapa duniani makapuku ni mashahidi.
ulale salama babe ile ndoto yako iendelee uje kunimalizia kesho inshaallah.
unapendwa huku
Jamaaani mwambie tunampenda sana...mlale salama binamu. Niko na mama yenu anawasalimia sana
Ulihama vingapi mkuuMie niko popo km kawaMbn mapema,muda wa kuhama kiwanja huu
Bado nahama,natafuta supu sasaUlihama vingapi mkuu
Hakika mkuuKumekucha Na Makucha Yake!
SawasawaBado nahama,natafuta supu sasa
Tunaomba Ulinzi Wako Katika Kazi Zetu Halali Za Kujitafutia Kipato!

Kwema Sijui Wewe MdadaHakika mkuu
Vp kwema
Namshukuru Mungu niko vizuriKwema Sijui Wewe Mdada
Karibu mtoto mzuriSawasawa