Sakayo alikuwa hataki niwe kwenye mitandao..Ulifichwa wapi jaman
Wewe tu,mie naangalia bill tu ,nilipe ,agiza chochote kileMkuu mtu chake Naweza Kuagiza Dem Na Akaletwa Na Weita? 😀
Tupo hapa karibu na kaunta ,we uko wapi?Wakuu Wa Humu Mpo?
Karibu MkuuHodiii!!
Shukran habari za uzima,Karibu Mkuu
Basi Ni Jambo La Kumshukuru MunguHuku pia wa kutosha aisee, Mr goal kick
Pamoja, Karibu Makapuku Forum!Swadakta mr