Nzuri shemu waneShemeji za miaka?
GoodKweli nilikuwa sijaelewa. Ila mimi kote ni kwetu tena huku ndo nilianzia wakati nimejiunga na JF. Home will always be home !!!
Mond!Habari za masiku meeeengi wakuu. I hope nyote ni wazima...
Nimeshakuelewa shemeji. Hapo nilikuwa najitetea mimi kuwa huku ni nyumbani na siwezi kupasahau wala kupatupa !!!Msukuma jamani ni hivi tumosa toka juzi hapost kitu uku anagawa likes na kutoka ndio hapo nikamwambia
Wote wazima hofu kwakoHabari za masiku meeeengi wakuu. I hope nyote ni wazima...



Nimeshakuelewa shemeji. Hapo nilikuwa najitetea mimi kuwa huku ni nyumbani na siwezi kupasahau wala kupatupa !!!
Dada lake "kibumbu" hapaWazima habari yako
Dada lake "kibumbu" hapa
shikamoo dadaNakuona na wewe ndio unaibuka
Maisha tu dadaNakuona na wewe ndio unaibuka
Niambie husna ake mondrayMond!
Vinci mzima wa afya shunie sijui wwWote wazima hofu kwako
Twakupenda pia mzima?naimani mu wazima wote humu ndani!nawapenda
Maisha tu dada
Heshima yako mkuu shimbaNimeshakuelewa shemeji. Hapo nilikuwa najitetea mimi kuwa huku ni nyumbani na siwezi kupasahau wala kupatupa !!!