Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Salama habari ya asubuhiMama JJ za kuamka
Salama habari ya asubuhiMama JJ za kuamka
Nzuri nzuriSalama habari ya asubuhi
Wazima habari yakowazima humu ndani?
Kumekucha na makucha yake
Kila mtu na kichaa chake
Amkeni mkuje![]()
![]()
![]()
Si wazima hofu kwako
Mama JJ za kuamka
Baba wawili shikamoo
Wazima kabisa, karibu
Salama habari ya asubuhi
Nzuri nzuri
Mtani wangu Bitoz za masiku?Mzee ile ishu chemba si tushaelewana
Kama vipi rudi PM
..........
Baaadaye..Kumekucha na makucha yake
Kila mtu na kichaa chake
Amkeni mkuje![]()
![]()
![]()
Nipo mkuu. Za masiku?Shimba ya buyenze nakuona
Shemeji za miaka?Bitoz...?!!!
Utamuonea tu Tumosa. Hata kwenye likes hakuwepo. Kwema shemeji?Naona umeibuka leo ulikuwa unagawa likes tu
Ni pouwa kabisa kaka.Nipo mkuu. Za masiku?
Nipo bro. Ni heka heka tu za hapa na pale kama ilivyo kawaida yetu hapa duniani ila nipo. Tumshukuru Mungu kwa kutuweka salamaNi pouwa kabisa kaka.
Umepotelea wapi?



Safi mkuu .Nipo bro. Ni heka heka tu za hapa na pale kama ilivyo kawaida yetu hapa duniani ila nipo. Tumshukuru Mungu kwa kutuweka salama![]()
Utamuonea tu Tumosa. Hata kwenye likes hakuwepo. Kwema shemeji?
Kweli nilikuwa sijaelewa. Ila mimi kote ni kwetu tena huku ndo nilianzia wakati nimejiunga na JF. Home will always be home !!!Hapana haujaelewa sio kwenu ni huku kwetu anagawa likes na kutoka
Msukuma jamani ni hivi tumosa toka juzi hapost kitu uku anagawa likes na kutoka ndio hapo nikamwambiaKweli nilikuwa sijaelewa. Ila mimi kote ni kwetu tena huku ndo nilianzia wakati nimejiunga na JF. Home will always be home !!!