moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,172
- 770,297
Niko poaHatujambo za ww
Niko poaHatujambo za ww
Ufaransa, Belgium,Croatia na England zote nazikubali ingawa Ufaransa nawakubali zaidi maana wameliwakilisha vema bara la Afrika ingawa yenyewe ni nchi ya UlayaWoooooozeeeeerrrrrrmoud kumbe nawe england
WoooooooozeeeeerrrUfaransa, Belgium,Croatia na England zote nazikubali ingawa Ufaransa nawakubali zaidi maana wameliwakilisha vema bara la Afrika ingawa yenyewe ni nchi ya Ulaya
Nimekaa hapa muda mwingi lakini naona upo mwenyewe tu wenyeji wengine wako wapi?Woooooooozeeeeerrr
Nimekaa hapa muda mwingi lakini naona upo mwenyewe tu wenyeji wengine wako wapi?
Sawa moudWakija nisalimie naondoka
Hachukui kombe..Ndoto yako imezimwa mkuu![]()
![]()
Nimekuja kuwapa salaam za weekend, kama nimewakwaza mnisamehe
Hamchukui WC ...
Trust me.
Si wazima hofu kwakowazima humu ndani?
Mama JJ za kuamkaKumekucha na makucha yake
Kila mtu na kichaa chake
Amkeni mkuje![]()
![]()
![]()
Wazima kabisa, karibuwazima humu ndani?