Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Cjui mdogo wngukwanini lakin
Cjui mdogo wngukwanini lakin
Barikiwa sana na wewe mke mwee mpaka ushangae
nilikuwa cjaiona mibaraka hiiKaribu sanaMi sijambo mamito, jina langu ndio hili hili toka zamani, hata sasa na siku zote. Napenda mtaa huu uko peace na umejaa Upendo Wa kweli.
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Mke mwee loe mama kanitafuta nmefurahi jamaniHapana Rene mm christian
Ndio umeiona sasa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nilikuwa cjaiona mibaraka hii
Mke mwee loe mama kanitafuta nmefurahi jamani
NdioOoh alikutafuta eenh
Ndio
Kojo gani hilo jamani
Aiseeee kumbe basi mawazo yangu yamenipeleka mbaliiii kuhusu kojoYaani kijana wa kiume hahahah
Hahahaha! Uponywe shemAiseeee kumbe basi mawazo yangu yamenipeleka mbaliiii kuhusu kojo
Hahahaha! Uponywe shem
Karibu sana jamaniMi sijambo mamito, jina langu ndio hili hili toka zamani, hata sasa na siku zote. Napenda mtaa huu uko peace na umejaa Upendo Wa kweli.
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
WapiiiAiseeee kumbe basi mawazo yangu yamenipeleka mbaliiii kuhusu kojo

Umeonaeeee![]()
![]()
![]()
mama mchungaji ktk ubora wako