Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Shikamoo Rene
Sijakatiza mtaa huu siku nyingi sana.
Sijakatiza mtaa huu siku nyingi sana.
I'd yake hiyo hiyoHujambo lakini, uzima kwanza hayo mengine ni ziada sana!
Zamani ulikuwa waitwa nani vilee
Shunie mwekahazina wa obe hiii sanaa
Habari shem[emoji124] [emoji124] [emoji124]
AmeenHaleeeluuuuyaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama mchungaji ktk ubora wako
KhaaaaaMsalimie mchepukoo wako au mganga wako alikwambia uwe unanisalimiaa ili unipatee
Anatuchukia mm na ObeAu umefanana na huyo mtu ndo mana hasira zinaishia kwako[emoji3]
Huyo mbebez wako wa zamani ananichosha mm
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mmefanyiana nini
Cjui nani kamdanga anakuja kumalizia hapa hasira zke
BarikiwaAmeen
Anatuchukia mm na Obe
Barikiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amedangwa ndo maana kaja na povuEti jamani si nimemrudishia mbebez wake
Amedangwa ndo maana kaja na povu
NdiwooooPovu si la nchi hii atuache na kanisa letu liwe la wadanganyi au watu wa fitna atuache jamani wenyewe tumeridhika
Ndiwoooo