ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
AmenLishindwe kwa kweli
AmenUbarikiwe mama Mchungaji
Asante binamuJamani kuna jipya!? Kama hakuna basi niwatakie kila mmoja jpili njema na mwanzo mwema wa wiki
SalamaAmen
Habari za asubuhi
Shunie huendagi mlimani?Hapana Rene mm christian
Sijui ako wapi aki..Salama
ABJ yuko wapi atiendeshee kpind cha sifa
Duuuu nimeshakuwa baba mchungaji teenah!Heshima yko baba mchungaji![]()
![]()
Mjomba wa akina wawili
HatujamboDuuuu nimeshakuwa baba mchungaji teenah!![]()
![]()
Niko poa, hofu kwako na wana
Mtumeeeeeeee!!Hatujambo
Kwani hujui humu ndani tumeanzisha kanisa ww baba mchungaji Sakayo mama mchungaji na sisi ni waumini Obe kwaya masta
makuuubwaaaa!Mtumeeeeeeee!!![]()
makuuubwaaaa!
Ebanaaaaaeeeeeee