Makapuku Forum

Haleluyaaaaa

Itapendeza baby..
Wow ebu tafuta Nyimbo za Joe Praize WA South Africa, I hope utakuwa unasauti kama yake.

Kweli wewe ni mume bora
Nashukuru sana kwa kupata mke mwema anaye kuwa upande wa mume wake bila kujali nini,NAKUPENDA SAN MY DEAR amaizing...Na nitaitafuta hizo nyimbo soon hapa nasikiliza wimbo kutoka kwa JUANITA BYNUN wimbo unaitwa DON'T MIND WAITING....Unabairki sana wife karibu tusikilize pamoja...
 
Mimi pia nashangaa, kama vipi tuanze kunywa uji wa chumvi alafu tuone kama sukari haitashuka bei.
 
Inabidi amuombe radhi shemeji yangu amazing.
Shemeji huwa naamini msamaha mzuri ni ule ambao mtu hashurutishwi anaeleweshwa tu hapo umefanya kosa then yeye ataamua njia sahihi kutoka pale akiambiwa hadi nin cha kufanya atarudia tena kesho ili amuombe my wife amaizing msamaha na nashukuru maana mpenzi wangu ni muelewa kuliko watu wanavyodhani..
 
Thanks my
Hebu niingie youtube

Usiache kutafuta Nyimbo za Joe Praize hasa Almighty God na Alpha and Omega.. I'm sure utazipenda na zitakubariki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…