Ni kweli jamaa anaweza akawa amelewa, maana nashangaa amekuja kuparamia wake za watu bila hata kuogopa.Shemeji nimeona ila unajua hii ni jion wacha niamini jamaa atakuwa kalewa na kesho pombe ikiisha atakuja omba msamaha hapa...
Niliangalia s01tena episode ya Kwanza tu nikaipotezea.. Me napenda zaid action na zile za kutishaNiliangalia mpaka season 3 sweet heart....wewe uliishia wapi?
Sweet heart please assume ni umekutana na mlevi njian akakuambia maneno mabaya huwa unafanyaje? Unamsamehe na kuachana naye tu...Shem mpotezee huyo na lugha zake za kukwaza watu
OK..Ila baby sasa hivi nataka kurudi kwenye kwaya tu tena zile za kusifu na kuabudu....Niliangalia s01tena episode ya Kwanza tu nikaipotezea.. Me napenda zaid action na zile za kutisha
Pole shem, anakuvua nguo hadharani!Shem mpotezee huyo na lugha zake za kukwaza watu
Na ndio nshamsamehe na kumpotezeaaSweet heart please assume ni umekutana na mlevi njian akakuambia maneno mabaya huwa unafanyaje? Unamsamehe na kuachana naye tu...
Nimepokea saba tu halafu wishes hamna, nasubiri umalize ili nikushukuru kwa ujumlaNimetembezaza kutosha, ci wajua cinaga hiana dada
Mhu hivyo mfunga viatu alikuwa sawa basi????Hata kwenye karamu ukialikwa, usikimbilie kukaa mbele maana wenye nafasi zao wakija alaf ukainuliwa itakuwa fedheha, heri ukae nyuma ili kama mbele kuna nafasi yako ukaombwa upite mbele itakuwa heshima zaid
Mkuu sikujua, ila huyo amaizing alikuwa anapitapita mbele yangu nkaona niulize kabla sijapita nae
mkuu taratibu walinzi tulianza kukoki vitu
Ni kweli jamaa anaweza akawa amelewa, maana nashangaa amekuja kuparamia wake za watu bila hata kuogopa.
Sweet heart please assume ni umekutana na mlevi njian akakuambia maneno mabaya huwa unafanyaje? Unamsamehe na kuachana naye tu...
Pole shem, anakuvua nguo hadharani!
Mkuu umeleta mtikisiko sanaMkuu sikujua, ila huyo amaizing alikuwa anapitapita mbele yangu nkaona niulize kabla sijapita nae
checkPole sana Shemeji ila hakuna namna hawa ndiyo watu waliotuzunguka kwenye jamii yetu...hakuna namna ingine sasa zaidi ya kuwasamehe tu...Hii imenisikitisha sana shemeji.
HaleluyaaaaaOK..Ila baby sasa hivi nataka kurudi kwenye kwaya tu tena zile za kusifu na kuabudu....
Inabidi amuombe radhi shemeji yangu amazing.Pole sana Shemeji ila hakuna namna hawa ndiyo watu waliotuzunguka kwenye jamii yetu...hakuna namna ingine sasa zaidi ya kuwasamehe tu...
Nshamsamehe huyooPole shem, anakuvua nguo hadharani!