Raha sana kuwa shabiki wa timu zifuatazo![]()
Tambwe 84'
Mbaya kijijini:
Jangwani
......................
Na badooNimeona hongera sana.
Mbeya city 0-2 Young Africans
Nashukuru sana kwa kupata mke mwema anaye kuwa upande wa mume wake bila kujali nini,NAKUPENDA SAN MY DEAR amaizing...Na nitaitafuta hizo nyimbo soon hapa nasikiliza wimbo kutoka kwa JUANITA BYNUN wimbo unaitwa DON'T MIND WAITING....Unabairki sana wife karibu tusikilize pamoja...Haleluyaaaaa
Itapendeza baby..
Wow ebu tafuta Nyimbo za Joe Praize WA South Africa, I hope utakuwa unasauti kama yake.
Kweli wewe ni mume bora
Mimi pia nashangaa, kama vipi tuanze kunywa uji wa chumvi alafu tuone kama sukari haitashuka bei.Mbona wenzetu hawanywi sukari na wanaishi? Walioishi Uk na baadhi ya nchi za wenzetu tuambie kwanini sisi sukari? Ugali unaongeza nguvu, viazi, maghimbi na vitu kama hivyo. Tuanze sasa kuamkia viazi na dagaa kama wapo au na mlenda halafu tusepe kazini tuone kama hawatashusha bei.

Nipo brother.Youngblood nakumis

Hili la kumlinda ni langu niachie kabisa wewe muheshimu kama shemeji yako tu....Tuko pamoja ndugu yangu...Sawa bwa shemeji, ntamlinda shem
Shemeji huwa naamini msamaha mzuri ni ule ambao mtu hashurutishwi anaeleweshwa tu hapo umefanya kosa then yeye ataamua njia sahihi kutoka pale akiambiwa hadi nin cha kufanya atarudia tena kesho ili amuombe my wife amaizing msamaha na nashukuru maana mpenzi wangu ni muelewa kuliko watu wanavyodhani..Inabidi amuombe radhi shemeji yangu amazing.
nitarudi dada, mda huu naongea na wif akoNimepokea saba tu halafu wishes hamna, nasubiri umalize ili nikushukuru kwa ujumla
Utasubiri sanaaaaaaaaaaaBora nisimjue huyo wako naye nita![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mahalangu jeHaleluyaaaaa
Itapendeza baby..
Wow ebu tafuta Nyimbo za Joe Praize WA South Africa, I hope utakuwa unasauti kama yake.
Kweli wewe ni mume bora
Raha sana kuwa shabiki wa timu zifuatazo
Yanga
Malmö fc
Manchester United & Real Madrid
Yani kuonyesha tu kuwa wanajuaHawa Yanga Si tayari mabingwa!, hii sasa sifa!
Nipo ndugu. Naona hili group ndo limegeuka kuwa the most active hapa JF. 31K replies and counting!Mkuu nalikumisi balaaa
Thanks myNashukuru sana kwa kupata mke mwema anaye kuwa upande wa mume wake bila kujali nini,NAKUPENDA SAN MY DEAR amaizing...Na nitaitafuta hizo nyimbo soon hapa nasikiliza wimbo kutoka kwa JUANITA BYNUN wimbo unaitwa DON'T MIND WAITING....Unabairki sana wife karibu tusikilize pamoja...
Duh! Nilipitiwa maana na mda huo usingizi nao ulikuwa unasumbua.X mke wako![]()
![]()
![]()
Yanga haina mpinzaniNimeona hongera sana.
Mbeya city 0-2 Young Africans
