manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Poa sana Kamanda...Niaje?Habari ya jioni wakuu.
Poa sana Kamanda...Niaje?Habari ya jioni wakuu.
AissHuyo pastor fake ndio zake mbona
Nimeona hongera sana.Nilikuwa navizia nitupie ya 32k tu sasa roho kwatuuu![]()
![]()
Viva Yanga
Asante tena!Maana yake Masters yake ni ya kusoma tu(kukariri) lakini kichwani hamna kitu japo kafaulu chuo
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Humu ni poa sana mkuu za huko utokako?habari za humu ....
Hawa Yanga Si tayari mabingwa!, hii sasa sifa!Nimeona hongera sana.
Mbeya city 0-2 Young Africans
Hii ndo Yanga timu ya wananchiHawa Yanga Si tayari mabingwa!, hii sasa sifa!
Humu ndani ni poahabari za humu ....
Bby hivi unapendaga mpira ??Humu ni poa sana mkuu za huko utokako?
Sweet heart...Humu ndani ni poa
Habar yako mkuu!
NimetembezaHappy Birthday Jimena !
Ambao walikuwa hawajapita hapa nawakumbusha mpite
Cc jambilo pita hapo utembeze likes![]()
![]()
za kutosha, ci wajua cinaga hiana dadaYes honeySweet heart...
My dear yaani mimi mpira wa Miguu na mimi mbali mbali sana yaani hata unipe na pesa siendi angalia kabisa...Napenda Basket ball ila tangu Kobe Bryant atundike daluga nimeanza poteza hamu kidogo..Bby hivi unapendaga mpira ??
ni powa mkuu, za kuadimika?Humu ni poa sana mkuu za huko utokako?
Asante Sweet pole na wewe my dear...Yes honey
Pole kwa kaz