Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Asante brother.Asante sana. Pole na wewe
Shemeji hajambo?
Asante brother.Asante sana. Pole na wewe
Poa poanitarudi dada, mda huu naongea na wif ako
Nimeaga mkuu,labda ulikuwa haupo.Safari ya wapi huagi??
Mzima kabisa.Asante brother.
Shemeji hajambo?
Poa poa.Mzima kabisa.
![]()
Mzigo wa nani huu![]()
..............

Mkuu ni 32k and still hotNipo ndugu. Naona hili group ndo limegeuka kuwa the most active hapa JF. 31K replies and counting!
Ni Volvo
Hahahahahaha basi sawaaaaDuh! Nilipitiwa maana na mda huo usingizi nao ulikuwa unasumbua.
PouwaMambo wewe
Mpinzani anatokea wapi kwa mfano??Yanga haina mpinzani![]()
Thank you so much wifiHongera my
Sorry kwa kuchelewaaaa
May our Almighty God protect u, bless u and give you a happy life forever..
Love yu mamy![]()
![]()

Unaenda wapi sasa?Nimeaga mkuu,labda ulikuwa haupo.
Ndiyo maana nimeamua kuhamia AzamMpinzani anatokea wapi kwa mfano??
Kwetu.Unaenda wapi sasa?