X mke wakoNaona story inayotrend now ni ya Gadna G Habash na X mke wangu.

Hahahahahaha hilo nalo nenooooItafuata "Makapuku wanajiona mastaa"
By Mbulu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........................
Morning my wiiMorning all
Kama sio ukwaju basi lemon juiceHahaaaa eti wamesema alikuwa anokojoa ukwaju coz miaka 12 hajafanikiwa kumtungisha mimba x wife
Kunyooka na nini? Mie mgeni kidogoNakwambia hadi hii miaka 5 iishe tutakuwa tusha nyooka
Baada ya kukojozana habari ya mjini sasa ni supuHahahahahaha hilo nalo nenoooo
Kugombana na mwanamke sio urijali..... Big up my kakaHaha mimi huwa sipendi kabisa kugombana na mwanamke yoyote yule. Ila sometimes nyie mnazingua basi tu
Niliaga mapema tu hivyo sikusinzia nililalaTaarifa, chief incharge wa ulinzi jana ulikutwa umesinzia lindo, unastahili adhabu Jimena

Kwanza mi sikuwa lindo nilikuwa doriaYah Jimena mkuu Alisinzia lindo

Nenda kanitembezee LIKES km chizi basi![]()
hebu niulizie kwa huyo punje ye alikesha lini??
Asante wifi ake......Sio wote, Asilimia kubwa tunaojielewa tunapenda kujishusha ili mambo yaishe..
Cc
Wanawake wote wanaojielewa
Jimena lizziebettie Linamo Nahrene
???Alisinzia kweli?!au alikuwa busy![]()
Weka ushahidi.....Alisinzia mkuu kamera zilimdaka, aje hapa abishe afu tutoe ushahidi
Mi niko poa wifi sijui wewe na kaka? Sijamuona kabisaMorning my wii
Huyu nae labda ni biashara matangazoBaada ya kukojozana habari ya mjini sasa ni supu
...............................................
Giggy Money aja na SUPU
...............................................
Sie wazimaMi niko poa wifi sijui wewe na kaka? Sijamuona kabisa
Huyu nae labda ni biashara matangazo
Akivaa supu haitoki?
Au ndo supu ya chura??
