Makapuku Forum

Makapuku Forum

nimeelewa sasa
....kama nimekuelewa sawa sawa! Nadhani unaandika maneno kwenye link (maneno yako)

Unapaswa kuandika maneno na kama unatumia keyboard basi bonyeza enter ndo ubandike link.

Kuandika na maneno inawezekana kwenye pictures na gif (inasupport still pic na animated)

Naamini nimekuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom