Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndio hivi binamu asante sana natakiwa nikipaste nibonyeze enter

...yeah, iwe unatumia tablet, simu au laptop. Unaweza anza na maneno unayotaka kisha ukibofya enter ndo unapaste clip.

kama unataka kuweka link iwe ya habari toka webpage tofauti basi unaweka link kamili tofauti na unavyoweka audio/video clips
 
Umependa nyimbo binamu

...nimeipenda hiyo nyimbo, ujue nina taste zangu nasikiliza zaidi sasa nikiona muziki ambayo sisikilizi mara nyingi na nikaupenda basi ninaupenda kweli. Unakumbuka ule wimbo uliowahi kuomba wa Tiwa Savage Oh baby, na Tekno, !!?

Me si shaik wa hizo lakini nilizipenda
 
Asante sana binamu ndio mana nakupenda mie
...yeah, iwe unatumia tablet, simu au laptop. Unaweza anza na maneno unayotaka kisha ukibofya enter ndo unapaste clip.

kama unataka kuweka link iwe ya habari toka webpage tofauti basi unaweka link kamili tofauti na unavyoweka audio/video clips
 
Nakumbuka binamu
...nimeipenda hiyo nyimbo, ujue nina taste zangu nasikiliza zaidi sasa nikiona muziki ambayo sisikilizi mara nyingi na nikaupenda basi ninaupenda kweli. Unakumbuka ule wimbo uliowahi kuomba wa Tiwa Savage Oh baby, na Tekno, !!?

Me si shaik wa hizo lakini nilizipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom