Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
ok karibuuKwema mkuu
ok karibuuKwema mkuu
mnaendeleaje
kivuruge+ mfyuuuuuuu kwa humu ndani wote vivuruge eenh






me mwanafunzi we ticha wangu ticha kivurugeFanya hivyo basi,mtihani huo unanipa










humu ndani kila mtu kivuruge nimecheka sana
me mwanafunzi we ticha wangu ticha kivuruge
Fanya hivyo basi,
Njema ABJ, twaruvunju?Habarii
Asanteh, karibu na wewe.ok karibuu
Njema sana, habari za miangaiko?...habari yako pia
Hakuna bana
nashururu........mimi pia...binafsi ninandelea vizuri na ni furaha kukuona hapa
😕Hakuna bana
humu ndani kila mtu kivuruge nimecheka sana





kwahiyo hakuna kivuruge mkuuNi hivi nikicopy nyimbo yuotube nitake kushare uku nikiandika na maneno inakuja link tupu nisipoandika maneno ndio inakuja nyimbo kama vile unavyopost nimeona hizi siku ulizotekwa nikawa naweka nyimbo
humu ndani kila mtu kivuruge nimecheka sana