Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Sawa binamu usijali halafu magazeti huwa nakuwekea wewe tu...usikonde aunt, najua ukiweka ninapata taarifa, nami si unajua huwa naingia asubuhi sana na kisha narudi usiku kama huu. Ndo michakato ilivyo, pamoja sana





