Makapuku Forum

Ni kweli jamaa anaweza akawa amelewa, maana nashangaa amekuja kuparamia wake za watu bila hata kuogopa.

Sweet heart please assume ni umekutana na mlevi njian akakuambia maneno mabaya huwa unafanyaje? Unamsamehe na kuachana naye tu...

Pole shem, anakuvua nguo hadharani!

Mkuu sikujua, ila huyo amaizing alikuwa anapitapita mbele yangu nkaona niulize kabla sijapita nae
Mkuu umeleta mtikisiko sana
check
 
Mbona wenzetu hawanywi sukari na wanaishi? Walioishi Uk na baadhi ya nchi za wenzetu tuambie kwanini sisi sukari? Ugali unaongeza nguvu, viazi, maghimbi na vitu kama hivyo. Tuanze sasa kuamkia viazi na dagaa kama wapo au na mlenda halafu tusepe kazini tuone kama hawatashusha bei.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…