G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,179
- 2,443
Hapana mkuu na refer rules mbili za maisha:Una double stds eee
1) general can never be wrong
2)just incase he is wrong refer to rule number one
Hapana mkuu na refer rules mbili za maisha:Una double stds eee
Mhubiri 4:13Mkuu wakati mwingine pia usisahau kuwa neno la Mungu limehakikishwa usiongeze wala kupunguza!
Asante shem, kumbuka Paulo anasema ktk kitabu cha wakorintho..MSINYIMANE

ready old age? Teh wanasema age is nothing, haya mambo ni kuweka tu terms kwa meza. n ways we lala mwaya... nite niahKuhusu kapuku? can wait sasa ni saa ya familia nite nite. He is waiting and am ready old age way hahahahha. Learn from here.
Umechapia kwenye uandishi ndo nlicholenga, alafu ukataka kukomaa na kuchapia kwa bitoz. Japo ukitoa maana ya kupunguza/kuongeza kwa manufaa ya makapuku si mbaya piaMhubiri 4:13
Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hujui tena kupokea maonyo...sijaongeza wala kupunguza. Je wajua maana ya kupunguza/kuongeza?
Sawa mkuu, kuna kausemi kuwa uketipo mezani na wakuu tia kisu kooni usikitamani chakula chakeHapana mkuu na refer rules mbili za maisha:
1) general can never be wrong
2)just incase he is wrong refer to rule number one
Wacheka nin kijana
fataki mchezoni
Hata kwenye karamu ukialikwa, usikimbilie kukaa mbele maana wenye nafasi zao wakija alaf ukainuliwa itakuwa fedheha, heri ukae nyuma ili kama mbele kuna nafasi yako ukaombwa upite mbele itakuwa heshima zaidSawa mkuu, kuna kausemi kuwa uketipo mezani na wakuu tia kisu kooni usikitamani chakula chake
Nimeona unamsisitiza shemeji yangu Lizzie.Wacheka nin kijana
Ni amaizing namkumbusha amgawie mzee haki yakeNimeona unamsisitiza shemeji yangu Lizzie.