Makapuku Forum

Makapuku Forum

b8aa6d7e4613c37c97c6379ff4f10df1.jpg
Kuna mtu "atakojoleshwa" hiyo May 20th Mlimani City. Ndi Ndi ndiiii !!!
 
My dear yaani mimi mpira wa Miguu na mimi mbali mbali sana yaani hata unipe na pesa siendi angalia kabisa...Napenda Basket ball ila tangu Kobe Bryant atundike daluga nimeanza poteza hamu kidogo..
...Steph Curry keshabeba mikoba ya Black Mamba mkuu. Jana tu kaweka rekodi mpya kwa kutundika point 17 kwenye muda wa ziada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom