Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,093
KumbeeeeSaaana
KumbeeeeSaaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji16][emoji16][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
Hahaaaahaaa[emoji108] [emoji108] haswaa
Ndo ushangae sasaMzaramo na mashauzi wapi na wapi?!![emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji14]
Si unaona amekimbiaaKumbeeee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]afadhaliNdo ushangae sasa
Si unaona amekimbiaa
HahahahahaHunaga weyere[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]afadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha
We ukitaka kumkimbiza muulize hela
Yaani Sakayo ameanza kukushangaa unavyonikataa... Ndo Namwambia anaanza kuja vizuri.... WEWE BADO UMEKAZA KAMA VYUMA VYA MAGU
Mpe wewe si unayo piaAcha kumkatisha tamaa babu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akikufwa tutapata wapi babu mwingine
Jamani au nimekosea utambulisho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binamu umetambulishwa
Huyo ndio super glue yetu hapa makapuku hatoki tusipoonekana atatutafuta kote turudi nyumbaniTumosa namuonaga siku moja moja !
Bora kiboko yake umekuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaaa
Hebu uende taraweh
Muziki: Sijui Chochote
Kichwa cha habari hapo kisikufanye ukadhani ni kweli sijui chochote, nilichomaanisha hapo ni mimi kukosa kumbukumbu kama nimekusalimia wewe unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Ujue nini, bila wewe MF ni kama majukwaa mengine tu lakini kwa kuwa wewe upo basi jukwaa hili ni sehemu nzuri sana kuwepo na tupenane asante kwa hili.
Nimefurahi kumuona anko wangu ambaye dalili zote zinaonesha kaachika kule alikowenda maana si kwa upole huu anaouonesha yaani amekuwa mtaratibu utasema mfanyakazi wa chumba cha barafu. Leo kwanza kanisalimia kitu ambacho hata wewe umeshangaa.
Muziki sasa, hebu tuburudike na muziki, asante sana wote mliotuburudisha na sogozi za kuvutia na uongo dhambi mwenzenu nimefunga na sikujua kama Tumosa ana chura wa maana asiyetosha kwenye bodaboda ila bajaj yenye air condition
Hv korosho ulishamletea
Naenda taraweh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulikutana sehemu
Wapi huko dada watu wamenunaHahahaha
Naona huko watu wamezidi kununaa, mie ni next
Haya karibu mke wa naniliu
Huku ndo kwetu npo daily