Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Ahsanteee...nzuri sana, kesho ni Ijumaa kwa hiyo karibu sana
Ahsanteee...nzuri sana, kesho ni Ijumaa kwa hiyo karibu sana
Jipe moyo tuSasa Unaanza kuja vizuri
Kufwa tuUtauwa wewe.... Shauri yako
Mjukuu wangu una dizaini wewe...... Sakayo Mashavu ......Tumosa machura.... Inayofata?????Tumosa machura
Ahsanteee
Rayna karibu mwaya huyu ni binamu yetu anaitwa obe ukitaka music wa aina yeyote ukuje atakuwekea ndio dj wetu humu makapuku...nitambulishe basi kwa mgeni, au kama ni jinsi sawa na mimi achana naye mkaribishe akae viti vya nyuma. kama ni tofauti na mimi mwambie aje nitampisha hapa wanapoanzia kugawa vinywaji na chakula
Inayofata nnMjukuu wangu una dizaini wewe...... Sakayo Mashavu ......Tumosa machura.... Inayofata?????
Nawaona nawaona loooh!Humu ndio nyumbani shoo sakayo katoka kaenda kufturu karibu sana jamani uwe unakuja kuja
ntakuja tena![]()
![]()
![]()
fursa hyo binamu
Ni mdada huyo sogea huko akae karibu na ww
Nashukuru kumfahamu Mr Obe!Rayna karibu mwaya huyu ni binamu yetu anaitwa obe ukitaka music wa aina yeyote ukuje atakuwekea ndio dj wetu humu makapuku
Sio utakuja tena ukuje kila maraNawaona nawaona loooh!![]()
![]()
![]()
![]()
ntakuja tena
Karibu sana jamaniNashukuru kumfahamu Mr Obe!
Rayna karibu mwaya huyu ni binamu yetu anaitwa obe ukitaka music wa aina yeyote ukuje atakuwekea ndio dj wetu humu makapuku
Sawa ntakuja my dear kila siku!Sio utakuja tena ukuje kila mara
Nzuri Ray... Karibu balozi wanguJamani habari za humu
Sitaki mambo zako za kunipa offer halafu unaniambia nijilipie mwenyewe...asante kwa utambulisho mzuri, unapenda zawadi gani, sema kama ni kinywaji, au bando chochote tu taja nitafanikisha
Ahsante my!Salama,karibu
EwaaaaSawa ntakuja my dear kila siku!
Ahsante babu!shikamooooNzuri Ray... Karibu balozi wangu
CC: Shunie
Yaani Sakayo ameanza kukushangaa unavyonikataa... Ndo Namwambia anaanza kuja vizuri.... WEWE BADO UMEKAZA KAMA VYUMA VYA MAGUJipe moyo tu
Acha kumkatisha tamaa babuJipe moyo tu