Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Huku ndo kwetu npo dailyTumosa namuonaga siku moja moja !
Huku ndo kwetu npo dailyTumosa namuonaga siku moja moja !
Nimesikia unapenda redibuli... Ntakununulia ili unipe mdogo wakoKhaaaa
Hebu uende taraweh
MakubwaaaaaaJamani habari za humu
Mwambie akupe hela, hutomuonaaa[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23]haina problemaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muziki: Sijui Chochote
Kichwa cha habari hapo kisikufanye ukadhani ni kweli sijui chochote, nilichomaanisha hapo ni mimi kukosa kumbukumbu kama nimekusalimia wewe unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Ujue nini, bila wewe MF ni kama majukwaa mengine tu lakini kwa kuwa wewe upo basi jukwaa hili ni sehemu nzuri sana kuwepo na tupenane asante kwa hili.
Nimefurahi kumuona anko wangu ambaye dalili zote zinaonesha kaachika kule alikowenda maana si kwa upole huu anaouonesha yaani amekuwa mtaratibu utasema mfanyakazi wa chumba cha barafu. Leo kwanza kanisalimia kitu ambacho hata wewe umeshangaa.
Muziki sasa, hebu tuburudike na muziki, asante sana wote mliotuburudisha na sogozi za kuvutia na uongo dhambi mwenzenu nimefunga na sikujua kama Tumosa ana chura wa maana asiyetosha kwenye bodaboda ila bajaj yenye air condition
Nimeqoute tu Jamani... Au mjumbe anauwawa siku hizi?Hebu nitoe hapo mie
Nenda tuuBado kidogo
Unaanza unokoNi balozi wako wapi[emoji15] [emoji15]
Okay dear nashukuru kukuonaHuku ndo kwetu npo daily
HahahahaUmefuta kauli shosti[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23]haina problemaa!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naenda taraweh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] Niko na umri wa kutosha sana tu!
Kungfu sio redibuluNimesikia unapenda redibuli... Ntakununulia ili unipe mdogo wako
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Naenda tarawehMwambie akupe hela, hutomuonaaa
Nisamehe mm jamaniUnaanza unoko
NimeshaendaNenda tuu
AsanteOkay dear nashukuru kukuona