Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ngoja aje atiririkeTumosa mimi napita maeneo likuki sana humu ,jukwaa moja tu nisilolipenda la Siasa, kwingine kote napita aidha kimyakimya au kwa kukomenti siwezi jua nimemkwaza wapi
Ngoja aje atiririkeTumosa mimi napita maeneo likuki sana humu ,jukwaa moja tu nisilolipenda la Siasa, kwingine kote napita aidha kimyakimya au kwa kukomenti siwezi jua nimemkwaza wapi
SawaNgoja aje atiririke
Home is always home shemela that's why am hereAsante shedede kwa kusoma naona umetususa
Sijapata aisee mwenye mapenzi ya dhati kama yeyeWoyoooooo hujapata mwenye mapenzi yake kama husna muba
Ndo unaridhikaSawa
Babu. shikamoo
Aaaa bana... Shunie kaona picha yako kwenye insta... Una chura ya kutishaNtaringiaje wakati haipo babu
Marahabaa... Muba hajambo?Babu. shikamoo
Nina muda sijamuona jukwani babu. Ila i hope atakuwa yuko vizuri japo aliwahi kusema anatumia miwani maana macho yana msumbua sana.Marahabaa... Muba hajambo?
Sijapata aisee mwenye mapenzi ya dhati kama yeye
Credit kwake
Sawa
Km we huijui njia ya kwetu na mie sijui code ya tigo pesa![]()
![]()
Mbwai mbwai tuu
Asubuhi njema kwa members wote wa makapuku forum







Weeeeee
Ishia hapo hapo!! Mie sio wa bench ati ukikataliwa ukuje kwangu!! Pambana na huba lako