Makapuku Forum

Makapuku Forum

No yako ulinipa lini mm maka akee jamani kwahiyo nikifika niulize maka anapoishi
Kwani shunie akee namba yangu huna!? We vuka njoo mpaka mjimwema kibaoni, ukifika hapo muulize hata mtoto aliyezaliwa leo atakuonesha home!!

Zaidi zaidi nitakuelekeza hapa hapa mpaka ufike, nikuandalie nini ndugu yangu..!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom