Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tuwe na asubuhi njema, Sakayo tunafurahi kusikia umepona na unatimiza majukumu yako. Endelea kutabasamu dawa zifanye kazi.

makaveli10 tuko pamoja braza, funga hii itusaidie sore kiafya na kiimani, Amin.

Wishing you good people a great rest of the day
Amin chief!! Kila lenye kheri ndugu yangu..

Usisahau leo kupitia home nina tende kiroba kizima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom