Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaani mara moja hii amekufanya mshika pembe.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...hao ndo wanawake katika ubora wao

CC:Sakayo
Angalia Usije ukapaliwa mkuu... Muhimu usikate tamaa... Ndo maumbile yao hao
Achana naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom