Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
WeeeeeeYaani mimi nikitolewa nje unaona rahaaaaa......... Yaani mjukuu wangu akinikataa mazima nalala bavu na wewe..
.Shunie usinikatae basi na wewe
Ishia hapo hapo!! Mie sio wa bench ati ukikataliwa ukuje kwangu!! Pambana na huba lako