Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Namiliki id hii tu. sema ni mzoefu wa humu kwa kua guest muda mrefuOoh sawa Brian nimefurahi kusikia hivyo jamani basi nikajua uko na I'd ya kongwe
Namiliki id hii tu. sema ni mzoefu wa humu kwa kua guest muda mrefuOoh sawa Brian nimefurahi kusikia hivyo jamani basi nikajua uko na I'd ya kongwe
Asante mshikaji wanguUsiku mwema na kwako mshkaji wangu ulale salama
Namiliki id hii tu. sema ni mzoefu wa humu kwa kua guest muda mrefu
Lete story mremboNimekuelewa Brian usijali
Pole mwaya.... Kumbe dadaako alikuwa anaumwa... Ndo hatumuoni jukwaaniNilifichwa na ubusy wa kutafuta hela na kumuuguza dada akee shunie sakayo alikuwa na malaria
Anaumwa sasa hivi hajamboPole mwaya.... Kumbe dadaako alikuwa anaumwa... Ndo hatumuoni jukwaani
Lete story mrembo
Umpe 'get well soon' yangu... Japo ananiwekea vizingitiAnaumwa sasa hivi hajambo
Sawa babu yake shunie zimefikaUmpe 'get well soon' yangu... Japo ananiwekea vizingiti
ahsante Shunie japo usingizi unagoma kujaPoa Brian uwe na usiku mwema jamani damu ya Yesu ikulinde
Mungu anakuona mke mweeeTenda ya nini rafiki kuna tumosa ana chura mpaka anashindwa kutembea
KhaaaaSawa rafiki kuna tumosa, abj na moneytalk
Mungu anakuona mke mweee
Umeanza kunipgia debe kwa huyo mzee wa chura akutane na mm nilivo flat hv c atazmia
ShikamooKhaaaa
Jamani upunguze stress kwa nn usingizi unagoma hivyoahsante Shunie japo usingizi unagoma kuja
Habar ya mchana. naisha tu hasa ukiangalia usawa huu wa maguJamani upunguze stress kwa nn usingizi unagoma hivyo
Habari za mchana nzuri sana sijui kwako usiwe mnyonge jamani hata Mungu hapendi ndio maisha hakuna namnaHabar ya mchana. naisha tu hasa ukiangalia usawa huu wa magu