Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Jamani mwambie Brian nilimmiss sana jamani uko unaendeleaje vipi na ugonjwa wa mapenzi wa mafua unaendeleajeUlimisiwa sana na Brian.
Kutoka wapi jamaniNdovunarudi mke mweee
Mafua bado yanasumbua yaani sijui yanataka niniJamani mwambie Brian nilimmiss sana jamani uko unaendeleaje vipi na ugonjwa wa mapenzi wa mafua unaendeleaje
Pole sana tafuta mbebez utapona weka bandiko la kutafuta mchumba watakuja wengi pm unachuja unayemtakaMafua bado yanasumbua yaani sijui yanataka nini
Shunie mpenz sio kama kwenda kuchagua nyanya gengeni japo inategemea mtu una prefer vitu gani. Napenda nakua na mahusiano na mtu ambae nina feeling nae. sio kuokota tuPole sana tafuta mbebez utapona weka bandiko la kutafuta mchumba watakuja wengi pm unachuja unayemtaka
Ngoja nikwambie Brian mda mwingine inabidi tuforce tu feeling ujue unavyozidi kuwa karibu na mtu badae unakuja tu kumfeelShunie mpenz sio kama kwenda kuchagua nyanya gengeni japo inategemea mtu una prefer vitu gani. Napenda nakua na mahusiano na mtu ambae nina feeling nae. sio kuokota tu
Nakubaliana naww shunie ukaribu ndio unawesa lete hisia. but Eti niseme kua nataka mpenzi kwasababu tu nina shida ya fulani sidhani kutakua na utofauti na msichana wa sinza mori niliyemnunuaNgoja nikwambie Brian mda mwingine inabidi tuforce tu feeling ujue unavyozidi kuwa karibu na mtu badae unakuja tu kumfeel
Basi kama ni hivyo acha mda uongeee hiyo kitu itatokea tu automatically tusiforce kila kitu kina mda wake kingine maombi ni muhimu sanaNakubaliana naww shunie ukaribu ndio unawesa lete hisia. but Eti niseme kua nataka mpenzi kwasababu tu nina shida ya fulani sidhani kutakua na utofauti na msichana wa sinza mori niliyemnunua
Thanks marvelous ShunieBasi kama ni hivyo acha mda uongeee hiyo kitu itatokea tu automatically tusiforce kila kitu kina mda wake kingine maombi ni muhimu sana
Marhabaa mjukuu wangu... Ulifichwa wapi?Sijambo babu shikamoo
Shikamoo binamu
Hbr ya wkend
Binamu shikamoo
Ngoja nikwambie Brian mda mwingine inabidi tuforce tu feeling ujue unavyozidi kuwa karibu na mtu badae unakuja tu kumfeel
Nilifichwa na ubusy wa kutafuta hela na kumuuguza dada akee shunie sakayo alikuwa na malariaMarhabaa mjukuu wangu... Ulifichwa wapi?
Asante binamu yangu na kwako pia..marhaba aunt yangu mwenyewe, hakuna mwingine kama wewe. Uwe na jioni njema
..unatumia kinywaji gani ujinunulie kwa faida ya kuandika jambo zuri tangu mwezi mfungo umeanza! Sema kinywaji chochote, usiogope bei, ujinunulie







Kwahiyo binamu siku zote huwa naandika pumba